Ansaruddin waua Makumi ya Wanajeshi wa Utawala wa Syria na IS walipua Bomba la Mafuta.

Thursday February 19, 2015 - 09:00:59 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2197
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Ansaruddin waua Makumi ya Wanajeshi wa Utawala wa Syria na IS walipua Bomba la Mafuta.

    Habari kutoka nchini Syria zinaeleza kuwa mapigano makali yamefanyika kaskazini mwa mji wa Halab ambapo ndio maeneo yalio na makabiliano makali katika Ardhi ya Shaam.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Syria zinaeleza kuwa mapigano makali yamefanyika kaskazini mwa mji wa Halab ambapo ndio maeneo yalio na makabiliano makali katika Ardhi ya Shaam.Baada ya vikosi vya upinzani nchini Syria kuutwaa vijiji viwili muhimu kutoka kwa Wanajeshi wa Utawala wa Bashar Al Asad Mujahidina na vuguvugu la wapinzani walianza upya mashambulio.
Baada ya mapigano makali yaliodumu masaa kadhaa hatimatimae vikosi vya upinzani wamefanikiwa kuutwaa tena maeneo waliochukuliwa hapo awali huko wakiwatwisha hasara wanamgambo wa Kinuseyria wa Bashar Al Asad.Taarifa rasmi uliotolewa na Mujahidina wa Ansaruddin imetaja kuwa imewaua Wanajeshi 51 wa utawala wa Syria na hapo hapo kuutwaa vijiji vya Ratyaan na Hardateyn.Picha kadhaa zilizosambazwa kwenye mitandao ya Internet imewaonyesha miili ya wanajeshi wa Kinuseyria wakiwa wametapakaa maeneo yaliofanyika makabiliano.Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Jeshi la Utawala wa Kinuseyria wamewachinja wananchi wa Kiislaam 21 wa kisuni katika maeneo yalio nje ya mji wa Halab baada ya kufurushwa kutoka maeneo waliorudishwa.Upande mwingine Dola ya Kiislaam imetangaza kulipua Bomba la kusafirishia Mafuta hadi katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Dimishq na mji mkuu wa Syria.

Related Items