40 wauawa kwenye shambulio la ndege nchini Nigeria.

Friday February 20, 2015 - 09:09:06 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1886
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    40 wauawa kwenye shambulio la ndege nchini Nigeria.

    Kwa uchache watu 36 wameuawa na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya shambulio la ndege katika mipaka ya kizushi kati ya Niger na Nigeria kama walivyokaririwa na Maofisa wa nchi hizo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kwa uchache watu 36 wameuawa na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya shambulio la ndege katika mipaka ya kizushi kati ya Niger na Nigeria kama walivyokaririwa na Maofisa wa nchi hizo.

Mtaa huo ambao uko katikati mwa mipaka ya nchi hizo mbili unajulikana Abadam na kabla ya kufanyika shambulio hilo watu walikuwa kwenye mkusanyiko wa mazishi.
Walioshuhudia wanasema takriban watu 36 wamepoteza maisha kwenye shambulio hiyo wa kinyama uliotekelezwa na ndege za kivita za ushirika dhidi ya Mujahidina wa Nigeria.Taarifa rasmi uliotolewa na Jeshi la Niger ilisema kuwa haijulikani Ndege iliyofanya shambulio hilo,wakaazi wa eneo hilo wanasema Ndege hizo zilikuwa na rangi ya Bendera ya Nigeria.Mujahidina wa Ahlu Sunna Lida'wat wal Jihad inayopigana nchini Nigeria wako kwenye makabiliano makali na mataifa ya kiafrika zaidi ya nchi 7.

Related Items