Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab wafanya mashambulio kwenye vituo vya Wanajeshi wa Kenya.

Friday February 20, 2015 - 09:11:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3537
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab wafanya mashambulio kwenye vituo vya Wanajeshi wa Kenya.

    Vikosi vya Mujahidina katika mkoa wa Lower Jubba wamezidisha harakati yao dhidi ya wanajeshi wavamizi kutoka Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Mujahidina katika mkoa wa Lower Jubba wamezidisha harakati yao dhidi ya wanajeshi wavamizi kutoka Kenya.Habari kutoka mkoani Lower Jubba zinaarifu kuwa masaa yaliopita Mujahidina walitekeleza mashambulio katika vituo vya Wanajeshi wa Kenya yalioko kwenye uwanja wa Ndege na eneo la Buula Gadud.Milio ya risasi na silaha nzito waliokuwa wakirushiana yalisikika katika eneo la Uwanja wa ndege mjini Kismaayo,vyanzo vya kuaminika viliarifu kuwa uwanja huo ulishambuliwa kwa mizinga kadhaa na baadae yalianza makabiliano ya ana kwa ana.


Mashambulio yanayowalenga dhidi ya wanajeshi wa Misalaba kutoka Kenya yamekuwa kawaida katika mkoa wa Lower Jubba na itakumbukwa kuwa Serikali ya Kenya haijakiri hasara wanazozipata Wanajeshi wake walioko nchini Somalia.

Related Items