Vikosi vya IS wafanya gwaride la kijeshi katika mji wa Sirta na Umoja wa Mataifa yakataa uingiliaji wa kijeshi Libya.

Friday February 20, 2015 - 09:18:17 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3165
  • (Rating 3.2/5 Stars) Total Votes: 6
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya IS wafanya gwaride la kijeshi katika mji wa Sirta na Umoja wa Mataifa yakataa uingiliaji wa kijeshi Libya.

    Utawala kibaraka wa Misri imetangaza kuakhirisha ombi lake iliyopeleka mbele ya kile kinachoitwa Baraza la Umoja wa Mataifa la kutaka kuingia kijeshi nchi ya Libya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Utawala kibaraka wa Misri imetangaza kuakhirisha ombi lake iliyopeleka mbele ya kile kinachoitwa Baraza la Umoja wa Mataifa la kutaka kuingia kijeshi nchi ya Libya.Msemaji wa Wizara ya masuala kimataifa wa Misri amesema ombi lao waliyoipeleka mbele ya Baraza la umoja wa Mataifa wameakhirisha na watashiriki katika usuluhisho wa kisiasa utakao suluhisha masuala ya ndani ya Libya.
Taarifa rasmi ya pamoja uliotolewa na Umoja wa muungano wa mataifa ya Ulaya na Marekani imetaja kuwa kwa sasa si wakati muafaka wa kuingilia kijeshi Libya lakini makundi yanayozozana kisiasa yatapata msaada kama vile mhalifu wa kivita Khalif Haftar na Bunge ili na mako yake mjini Dabaraq.Jeshi la anga la Misri lilifanya mashambulio kadhaa katika miji ya Kaskazini siku chache tu baada ya vikosi vya IS kuwakata vichwa wakristo 21 wa Misri wa dhehebu la Koptik.Upande mwingine Vikosi vya Dola ya Kiislaam tawi la Libya wamefanya Gwaride kubwa la kijeshi katika mji wa Sirta katikati mwa Libya.Makumi ya Magari ya kivita waliokuwemo wanajeshi Mujahidina yalifanya matembezi katika mji wa Sirta nchini Libya.


Related Items