Milipuko mikubwa na Risasi yasikika katika Hoteli iliyo karibu na Ikulu ya Mugadishu.

Friday February 20, 2015 - 21:45:35 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1463
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 7
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Milipuko mikubwa na Risasi yasikika katika Hoteli iliyo karibu na Ikulu ya Mugadishu.

    Habari iliyotufikia kutoka Wilaya ya Hamarweyne mjini Mugadishu zinaeleza kuwa milipuko mikubwa na risasi yalisikika kwenye Hoteli iliyo na ulinzi mkubwa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari iliyotufikia kutoka Wilaya ya Hamarweyne mjini Mugadishu zinaeleza kuwa milipuko mikubwa na risasi yalisikika kwenye Hoteli iliyo na ulinzi mkubwa.Vishindo vya milipuko miwili yalisikika na baadae ikafuatia milio ya risasi waliorushiana watu wanaodhaniwa kuwa wamefanya shambulio hilo na wanamgambo wa Serikali ya FG.Taarifa za awali zinadai watu waliojihami na silaha waliingia ndani ya Hoteli hiyo inayojulikana Center Hoteli iliyoko katikati mwa mji wa Mugadishu.

Related Items