Al-Shabab yathibitisha kutekeleza shambulio kwenye Hoteli waliokuwemo viongozi wa Serikali ya FG.

Friday February 20, 2015 - 21:47:19 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1573
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 6
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Al-Shabab yathibitisha kutekeleza shambulio kwenye Hoteli waliokuwemo viongozi wa Serikali ya FG.

    Taarifa rasmi uliotolewa na Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imedai kuwa vikosi maalum vya Mujahidina walifanya shambulio kubwa kwenye Hoteli iliyo karibu na Ikulu ya Villa Somalia ambapo walikuwemo viongozi na baadhi ya Maofisa wa Serikali shirikisho

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Taarifa rasmi uliotolewa na Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imedai kuwa vikosi maalum vya Mujahidina walifanya shambulio kubwa kwenye Hoteli iliyo karibu na Ikulu ya Villa Somalia ambapo walikuwemo viongozi na baadhi ya Maofisa wa Serikali shirikisho ya Somalia FG.Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Andalus iliyo chini ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imewanukuu maofisa wa Mujahidina kuwa ndio waliotekeleza shambulio hilo.
Taarifa za awali zilidai kuwa Mujahidina waliingia ndani ya Hoteli ya Central ambao hauko mbali na Ikulu ya Villa Somalia na ndani ya Hoteli hiyo walikuwako viongozi kadhaa wa Serikali inayofanya kazi na wavamizi wa misalaba waliojiita AMISOM.

Related Items