Vyanzo muhimu iliyopata SomaliMemo imethibitisha kuwa Waziri wa Uchukuzi wa Utawala wa FG Ali Ahmed Jama Jangali na viongozi wengine mawaziri ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika shambulio la iliyoilenga Hoteli ya Central mjini Mugadishu.
Taarifa zinazomiminika ambao inahusiana na Hasara iliyopatikana kwenye shambulio hilo haikuweza kuthibitishwa,na mpaka sasa hatujapata taarifa rasmi inayohusiana hasara,upande wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ambao ndio iliyothibitsha kutekeleza shambulio hilo.
Shirika la habari la Reuters kwa upande wake imethibitisha mawaziri waliojeruhiwa,na haikuweza kuendelea kufafanua majina ya Maziri hao waliojeruhiwa katika eneo la tukio.
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa kwenye eneo hilo wamepoteza maisha watu wengi akiwemo Naibu mkuu wa Mkoa wa Banadir.
Maofisa wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ambao Idhaa ya Radio Al Andalus imewanukuu wamesema wametekeleza Opresheni maalum iliyowalenga viongozi wa Serikali Shirikisho ya Somalia FG,lakini wamesema watatoa taarifa ya haara iliyopatikana kwenye shambulio hilo maalum.
Mbali na hasara iliyosababishwa na shambulio hilo,pia ni pigo kwa mashirika ya kiusalama ya Serikali ya FG ambao siku za hivi karibuni walifunga baadhi ya Barabara mjini Mugadishu,lakini hawakuweza kuzuia mashambulio hayo yaliopangwa vyema ambao inaawaangamiza Roho za viongozi wa utawala wa FG.
Mawaziri na Viongozi wengine wafa kwenye Shambulio la mjini Mugadishu.
Vyanzo muhimu iliyopata SomaliMemo imethibitisha kuwa Waziri wa Uchukuzi wa Utawala wa FG Ali Ahmed Jama Jangali na viongozi wengine mawaziri ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika shambulio la iliyoilenga Hoteli ya Central mjini Mugadishu.