Picha:Viongozi na Maofisa wa Serikali ya FG wauawa kwenye shambulio la Hoteli ya Central mjini Mugadishu.

Friday February 20, 2015 - 21:50:09 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2761
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Picha:Viongozi na Maofisa wa Serikali ya FG wauawa kwenye shambulio la Hoteli ya Central mjini Mugadishu.

    Taarifa zaidi zimepatikana kuhusiana na shambulio kubwa iliyotekelezwa na vikosi maalum vya Mujahidina wa Al-Shabab katika Hoteli iliyo karibu sana na Ikulu ya Villa Somalia ambapo kwenye hoteli hiyo walikuwemo Mawaziri na viongozi kadhaa wa Serikali

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Taarifa zaidi zimepatikana kuhusiana na shambulio kubwa iliyotekelezwa na vikosi maalum vya Mujahidina wa Al-Shabab katika Hoteli iliyo karibu sana na Ikulu ya Villa Somalia ambapo kwenye hoteli hiyo walikuwemo Mawaziri na viongozi kadhaa wa Serikali Shirikisho ya Somalia FG.Kwa uchache watu 35 wakiwemo Maofisa wa Kijeshi,Wanasiasa na Viongozi wa Utawala wa Mkoa wa Banadir wamejeruhiwa katika shambulio hilo la Hoteli ya Central.
Duru zimethibitisha kuwa milipuko miwili ilitokea ndani ya Hoteli na hasara kubwa ilisababishwa na Gari lililokuwa limejazwa vitu vya vilipuzi kulipuka ndani ya Hoteli hiyo.Mohamed Abdi Hayir Mareeye ambae ni Waziri wa Habari wa Serikali ya FG amezungumza na waandishi wa Habari na kukiri kuwa katika shambulio hilo kumepatikana vifo na majeruhi wengi.Hasara iliyopatikana katika shambulio hilo ni kubwa sana lakini Serikali ya FG inajaribu kuuficha hasara kubwa iliyopatikana kwenye shambulio la leo mjini Mugadishu.Eneo lililofanyika shambulio ni eneo ambalo usalama wake umeimarishwa vilivyo na Wanajeshi wavamizi wa Misalaba waliojiita AMISOM na yale ya Serikali ya FG.Sheikh Abdulaziz Abuu Mus'ab Msemaji wa Kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ambae amezungumza na Mashirika ya habari na kusema kuwa malengo ya mashambulio walioifanya katika Hoteli ya Central imefanyika kama ilivyopangwa ambao lengo lake ilikuwa kuwaangamiza viongozi wa "Murtadiina" kama alivyonukuliwa.Idadi ya watu waliopoteza Maisha katika shambulio hilo ambao Waziri wa Habari amethibitisha mbele ya vyombo vya habari Mohamed Mareeye.


1- Mohamed Adan Guleed (Aanageel) Naibu mkuu wa mkoa wa Banadir upande wa Siasa


2- Mbunge Umar Ali Nuur (Furdug) alijiunga na Ubunge enzi za Sharif Sheikh Ahmed 


3- Mbunge Mohamed Du'ale Mussa Haji ambae alishika nafasi aliyoiacha Ali Khalif Galeyr


4- Abdishakur Mire Adan Obol aliwahi kuwa Naibu waziri wa Habari katika utawala wa Puntland na kwa sasa alikuwa Naibu mkuu wa chama cha kisiasa kinachojulikana Daljir.


Viongozi na wabunge waliojeruhiwa kwenye shambulio hilo na ambalo Serikali ya FG imethibitisha ni pamoja na.


1- Nuur Farah Hirsi Waziri wa Masuala ya Bandari 


2- Abdulqadir Ali Umar Mbunge 


3- Abdurahman Mohamed Bangah Waziri mstaafu 


4- Mahamuud Ahmed Mkuu wa Wilaya ya Bal'ad


5- Salaad Ali Jeele aliwahi kuwa Naibu waziri Ulinzi enzi ya Abdulahi Yusuf


6- Ali Jangale Jama Waziri wa AngaRelated Items