Ansaru Sheriah waua wanamgambo 20 wa Huthi nchini Yemen.

Tuesday March 03, 2015 - 08:45:57 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1876
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Ansaru Sheriah waua wanamgambo 20 wa Huthi nchini Yemen.

    Kwa mara ya pili wanamgambo wa kishia wa Huthi wamepata hasara katika mapambano yaliofanyika katikati na Kaskazini mwa Yemen.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kwa mara ya pili wanamgambo wa kishia wa Huthi wamepata hasara katika mapambano yaliofanyika katikati na Kaskazini mwa Yemen. Habari kutoka mkoa wa Al Beydaa katikati mwa Ardhi ya Yemen zinaarifu kuwa mashambulio makubwa uliofanywa na Mujahidina wa Ansaru Sheriah dhidi ya wanamgambo wa Kishia wa Huthi umewaua Maaskari takriban 20 pamoja na Maofisa wa kundi hilo la kishia. Taarifa rasmi uliotolewa na Mujahidina wa Ansaru Sheria nchini Yemen umedai kuwa Wanamgambo 18 wa Kihuthi wameuawa katika mashambulio yaliofanyika nje ya mji wa Rada'a. Afisa wa Kijeshi aliyekuwa maarufu katika mkoa wa Sa'dah alikuwa miongoni mwa Wanamgambo waliouawa katika wa Al Beydaa,taarifa zaidi zinaeleza kuwa Mujahidina wakishirikiana na Makabila ya Kisunni walifanya mashambulio mengine mapya dhidi ya vituo vya wanamgambo yalioko Al Beydaa na Eb. Wanamagmbo hao wa Kishia ambao ni mawakala wa Iran wanakutana na uvujaji mkubwa wa Damu tangu walipoipindua kijeshi Utawala nchini Yemen. Upande mwingine Jamhuri ya Kishia ya Iran umtangaza kuwa na mahusiano ya mmoja kwa mmoja na Utawala wa Wanamgambo hao wa Huthi nchini Yemen. Shirika la habari la Saba iliyo chini ya utawala wa wanamgambo wa Kishia wa Huthi umetangaza kuwa Iran imeahidi kuwa shirika la Anga la Tehran litafanya safari zake kati ya San'aa na Tehran kwa mara 14 kwa wiki. Hatua hii ya Iran inalengo la kuiondoa vikwazo viliowekwa kwa baadhi ya maofisa wa utawala wa wanamgambo hao wa Huthi ambao hivi karibuni mataifa ya Kiarabu na nchi za Magharibi ziliuwekea baada ya kufunga Balozi zao zilizokuwa nchini Yemen.

Related Items