Raia wa mataifa ya Magharibi wauawa katika shambulio iliyofanyika mji wa Bomako nchini Mali.

Sunday March 08, 2015 - 08:19:01 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2209
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 6
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Raia wa mataifa ya Magharibi wauawa katika shambulio iliyofanyika mji wa Bomako nchini Mali.

    Habari kutoka nchini Mali zinaeleza kuwa shambulio iliyowaua watu kadhaa imefanyika eneo la Mgahawa ambapo raia wa mataifa ya Magharibi walikuwako.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Mali zinaeleza kuwa shambulio iliyowaua watu kadhaa imefanyika eneo la Mgahawa ambapo raia wa mataifa ya Magharibi walikuwako.


Wapiganaji wa Kiislaam walikivamia kwa nguvu katikati mwa mji wa Bomako iliyo mji mkuu wa nchi ya Mali,walioshuhudia wamesema Mghahawa waliokuwepo Raia hao wa kigeni ambapo baadhi yao ni kutoka Ubilgiji na France walishambuliwa na watu 5 wameuawa.


Afisa mmoja aliyezungumza kwa niaba ya U.N amesema wanaume hao waliotekeleza shambulio hilo walitumia Mabomu ya kurusha kwa mkono na kisha kuanza kuwaua watu mmoja baada ya mwingine ndani ya Mghahawa hiyo.Msemaji wa Polisi mjini Bomako amethibitisha kuwa watu waliotekeleza shambulio hilo wamefanikiwa kuondoka kwa Gari dogo na hakuna aliyewafuatilia.


Mali ilivamiwa na Wanajeshi kutoka Ufaransa wakisaidiwa maelfu ya Wanajeshi kutoka Afrika mwaka 2012 huko hali ya usalama katika nchi hiyo ikiwa tete wakati wapiganaji wa Kiislaam wakiwa na nguvu upande wa Kaskazini mwa nchi hiyo.Related Items