Dola ya Kiislaam imedai kuhusika shambulio iliyowaua raia wa kigeni katika nchi ya Tunis.

Friday March 20, 2015 - 07:38:54 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2680
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 7
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Dola ya Kiislaam imedai kuhusika shambulio iliyowaua raia wa kigeni katika nchi ya Tunis.

    Taarifa rasmi iliyotolewa na Dola ya Kiislaam imethibitisha kuhusika kwake kwenye shambulio iliyosababisha hasara kubwa nchini Tunis ambapo walilengwa watalii kutoka mataifa ya Magharibi iliyofanyika juzi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Taarifa rasmi iliyotolewa na Dola ya Kiislaam imethibitisha kuhusika kwake kwenye shambulio iliyosababisha hasara kubwa nchini Tunis ambapo walilengwa watalii kutoka mataifa ya Magharibi iliyofanyika juzi.Tamko iliyotangazwa kupitia mitandao ya Internet ilifafanua malengo ya shambulio yaliofanyika eneo la kumbukumbu ya taifa nchini Tunisia.


"Uvamizi uliobarikiwa kwenye vituo vya ukafiri na ubaya nchini Tunisia ya kiislaam",ndio ilipewa kichwa cha habari katika Tamko iliyotolewa na Dola ya Kiislaam.IS (Islamic State) imesema kuwa shambulio hilo ilitekelezwa na Mujahidina wawili waliokuwa na silaha aina ya Ak47 na Mabomu kadhaa ambapo waliingia kwa nguvu ndani ya majengo ya Kumbukumbu ya Taifa waliokuwemo raia wa Mataifa ya Magharibi waliokuwa wakifanya Ufuska ya Kitalii.


Waliotekeleza shambulio hiyo walikuwa ni Zakaria Al Tunis na Abuu Anas Al Tunis muda mfupi baada ya kuishiwa na risasi walipigwa risasi na Polisi wa Utawala wa Tunisia na hatimae kupata shahada zao papo hapo.


Dola ya Kiislaam imeapa kuiadhibu Serikali kibaraka ya Tunisia ikiwa itaendelea kufanya kazi pamoja na mataifa ya Magharibi na mapambano dhidi ya waislaam nchini humo.


Shambulio la juzi iligharimu maisha ya watalii 20 kutoka mataifa ya Magharibi na Maaskari 3 wa Polisi wa Utawala wa nchi hiyo na ni shambulio iliyokuwa na hasara kubwa kutekelezwa na Dola ya Kiislaam katika eneo la Kaskazini mwa Bara la Afrika.


IS inadhibiti Ardhi kubwa ya Iraq na Syria huko vikosi vinayoiunga mkono vikiendesha harakati zake katika nchi za Libya,Tunisia,Misri na Nigeria.


Related Items