PICHA:Mamia ya wanamgambo wa Kishia wa Huthi wauawa kwenye milipuko mikubwa yaliofanyika nchini Yemen na IS yadai kutekeleza.

Saturday March 21, 2015 - 08:21:53 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3365
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 0 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Mamia ya wanamgambo wa Kishia wa Huthi wauawa kwenye milipuko mikubwa yaliofanyika nchini Yemen na IS yadai kutekeleza.

    Kwa uchache watu 137 wa kundi la wanamgambo wa kishia wa Huthi wameuawa baada ya milipuko mikubwa kufanyika katika miji ya Sa'dah na San'aa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kwa uchache watu 137 wa kundi la wanamgambo wa kishia wa Huthi wameuawa baada ya milipuko mikubwa kufanyika katika miji ya Sa'dah na San'aa.


Habari kutoka nchini Yemen zinaeleza kuwa watu waliokuwa wamejifunga na mikanda ya vilipuzi waliweza kujilipua ndani ya misikiti miwili waliokuwemo Wanamgambo wa Kishia wa Huthi katikati mwa mji wa San'aa.
Picha kadhaa zilizosambazwa na mashairika ya habari zilionyesha miili ya wanamgambo hao yakizagaa ndani ya miskiti,watu hao waliouawa walikuwemo pia maofisa wakuu wa Kundi la Kishia la Huthi.Vyombo vya habari nchini Yemen wanasema kuwa Misikiti yaliolipuliwa yalikuwa ni maeneo walioyageuza Kundi la kishia la Huthi kuwa maeneo ya kufanyia Mikutano yao maalum na pia kuwa ni sehemu ya kukutana na wafuasi wao baada ya kushindwa kufanya kazi katika majengo na vituo vya Serikali baada ya kufanya mapinduzi.Tamko Rasmi iliyotolewa na Dola ya Kiislaam imetaja kuwa walipuaji 5 kutoka katika kikosi cha A'amiliya Istish-haadiya walifanya mashambulio yaliofaulu kwenye mikutano ya Kundi la Kishia wa Huthi kwenye miji ya San'aa na Sa'dah nchini Yemen."Washambuliaji mashujaa 4 wa kikosi cha A'amiliyah Istish-haadiya walishambulia na kuingia vituo vya Kishirikina vya Mahuthi wa Badr na Hushuush huko Ndugu mwingine akiingia na kutekeleza A'miliyah hiyo katika kituo kingine cha cha Mashia mjini San'aa".ilitaja sehemu ya Tamko hiyo kutoka Dola ya Kiislaam.
Televisheni ya Kishia imetangaza kuwa viongozi wawili muhimu wamejeruhiwa katika mashambulio hayo yaliofanyika msikiti ya Badr ambao Mashia wameigeuza kuwa ni sehemu ya kufanyia Ibada ya Kishirikina.Ni shambulio iliyokuwa na hasara kubwa kufanyika ambao Dola ya Kiislaam imetekeleza nchini Yemen  na ni mara ya kwanza kwa Dola ya Kiislaam kuonyesha harakati zake katika Ardhi ya Yemen.Mwezi uliopita wafuasi wa Jamhuri ya Kishia ya Iran waliiteka maeneo mengi ya miji ya Yemen ambao mji wa San'aa ni kubwa kuliko miji yeyeote katika nchi hiyo.


Embedded image permalink
أحد مسجدين في صنعاء تعرضا لتفجيرات قتل فيها العشرات (ناشطون)


Related Items