Maandamano ya kupinga ukosefu wa usalama nchini Kenya yafanyika mji wa Mandera.

Sunday March 22, 2015 - 09:06:12 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2445
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 10
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Maandamano ya kupinga ukosefu wa usalama nchini Kenya yafanyika mji wa Mandera.

    Wakati ambapo hali ya usalama ukiendelea kuwa tete wananchi wa Mikoa ya Kaskazini Mashariki wamefanya maandamano makubwa ya kupinga hali mbaya ya usalama ulioshuhudiwa katika miaka ya hivi karibuni nchini Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wakati ambapo hali ya usalama ukiendelea kuwa tete wananchi wa Mikoa ya Kaskazini Mashariki wamefanya maandamano makubwa ya kupinga hali mbaya ya usalama ulioshuhudiwa katika miaka ya hivi karibuni nchini Kenya.Mamia ya wananchi walifanya maandamano katika Barabara kuu ya Mji wa Mandera na wameitaka Serikali kumfukuza kazi Alex Ole Nkoyo ambae ni mkuu Counti ya Kaskazini Mashariki.Katika Maandamano hayo walionekana wanasiasa mbalimbali wa mkoa wa Kaskazini Mashariki,Mashirika ya kiraia na wanafunzi wanaosoma Shule mjini Mandera,waandamanji walikuwa wakipiga kelele ya kulaani Serikali ya Kenya huko Ole Nkoyo wakimlaumu kuzembea Usalama.


Wiki iliyopita kulifanyika mashambulio yaliowaua watu 16 ambao wengi wao walikuwa ni Maofisa wa Polisi nchini Kenya katika miji ya Wajeer na Mandera. 

Related Items