PICHA:Jenerali mwenye cheo cha juu wa Jeshi la Kishia la Iran auawa nchini Iraq.

Sunday March 22, 2015 - 23:08:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4194
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 1 1
  • Share via Social Media

    PICHA:Jenerali mwenye cheo cha juu wa Jeshi la Kishia la Iran auawa nchini Iraq.

    Serikali ya Kishia ya Iran imetangaza kuwa Afisa wake wa kijeshi mwenye cheo cha juu ameuawa katika mapigano yaliotokea nchini Iraq.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Serikali ya Kishia ya Iran imetangaza kuwa Afisa wake wa kijeshi mwenye cheo cha juu ameuawa katika mapigano yaliotokea nchini Iraq.Habari kutoka nchini Iraq zinaeleza kuwa vikosi vya Dola ya Kiislaam wamemwua Jenerali wa Kijeshi kutoka Jamhuri ya Kishia wa Iran.Makabiliano makali yaliofanyika nje ya mji wa Tikrit ameuawa Jenarali Sadeq Yaari ambae walikuwa karibu na Qasim Suleyman kamanda mkuu wa Jeshi la ulinzi wa Taifa la Iran na ambae ndie anaeongoza uvamizi wa Mashia dhidi ya waislaam wa Kisunni nchini Iraq na Syria.


Taarifa rasmi kutoka Utawala wa Iran umethibitisha kifo cha Jenerali Sadeq Yaari na imetaja kuwa ameuawa kwa kile walichokiita kuwa Jihadi Muqadais dhidi ya makundi ya kigaidi wakiwa na maana ya kuwa vita dhidi ya waislaam wa Kisunni.


Uvamizi waliofanya wanamgambo wa Kishia wa Iran umesababisha mauaji ya maelfu ya Maadui huko Mujahidina wakihakikisha udhibiti wao katika mji huo wa Tikrit.

http://somalimemo.net/uploads/article/photo/IMG_E0A5AB-66EF70-6E44FB-4B15A2-A1DBB1-18C3A6.png

Related Items