Wanajeshi wa Ethiopia waondoka kijiji kilicho karibu na mji wa B/Weyne na Al-Shabab waudhibiti kiukamilifu.

Wednesday March 25, 2015 - 23:12:25 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2408
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa Ethiopia waondoka kijiji kilicho karibu na mji wa B/Weyne na Al-Shabab waudhibiti kiukamilifu.

    Habari kutoka mkoani Hiraan katikati mwa Ardhi ya Somalia zinaarifu kuwa Wanajeshi wa kihabeshi kutoka Ethiopia wameondoka kutoka katika kijiji kilicho karibu na mji wa Beled Weyne.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Hiraan katikati mwa Ardhi ya Somalia zinaarifu kuwa Wanajeshi wa kihabeshi kutoka Ethiopia wameondoka kutoka katika kijiji kilicho karibu na mji wa Beled Weyne.Mwandishi Nuur Ali Warsame aliyoko mkoa wa Hiraan anaarifu kuwa ameona Vikosi vya Wanajeshi wakiondoka rasmi katika kijiji cha Buq Gusaar na baada ya muda mfupi eneo hilo walionekana vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen,walioshuhudia wanasema wanajeshi wa Kiislaam walitundika Bendera nyeusi katika vituo vilioachwa na Wanajeshi wa Ethiopia.Makumi ya wakaazi wa Buq Gusaar wamejitokea kwenye kijiji hicho huko wakionyesha nyuso za furaha baada ya kupata uhuru wao. 

Related Items