VIDEO:Serikali zilizoshiriki katika Opresheni ya kuwafurusha wanamgambo wa kishia wa Huthi "Kimbunga cha Uamuzi mgumu".

Friday March 27, 2015 - 09:30:10 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3362
  • (Rating 2.9/5 Stars) Total Votes: 42
  • 0 0
  • Share via Social Media

    VIDEO:Serikali zilizoshiriki katika Opresheni ya kuwafurusha wanamgambo wa kishia wa Huthi "Kimbunga cha Uamuzi mgumu".

    Muungano wa mataifa ya nchi za kiarabu imetangaza kuwa Serikali 10 yanashiriki katika uvamizi mpya ulio dhidi ya wanamgambo wa Kishia wa Huthi walioiteka Ardhi ya Hekma na Iman nchini Yemen.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Muungano wa mataifa ya nchi za kiarabu imetangaza kuwa Serikali 10 yanashiriki katika uvamizi mpya ulio dhidi ya wanamgambo wa Kishia wa Huthi walioiteka Ardhi ya Hekma na Iman nchini Yemen.Utawala wa Aala Saudi umetangaza kuwa imetoa ndege 100 za kijeshi pamoja na wanajeshi wapatao 150,000 katika opresheni mpya iliyopewa jina la "Kimbunga cha uamuzi mgumu" iliyoanza usiku wa kuamkia juzi katika mji mkuu wa San'aa nchini Yemen.
Waziri wa ulinzi wa Saudi Arabia amesema opresheni hiyo itaendelea hadi hapo wanamgambo wa Kishia wa Huthi watakapoendelea jinai yao dhidi ya wananchi wa nchi hiyo na Utawala wa Yemen.

http://wata.cc/up/2015/03/images/w-bdbbc50fa9.jpg

Serikali ya Emaret inashiriki opresheni hiyo kwa ndege za kisasa za kivita 30 huko Serikali za Bahreyn na Kuweit zikitoa ndege 25 za kijeshi.


Waziri wa masuala ya ndani wa Misri kwa upande wake amesema Misri inashiriki opresheni hiyo kwa kutoa ndege za kivita pamoja na Meli za kijeshi katika Bahari ya Aden nchini Yemen.


Tizama hapa chini Video iliyoandaliwa na televisheni ya Al Jazeera "Kimbunga cha uamuzi mgumu"Related Items