Kwa siku ya pili Al-Shabab waendelea na opresheni kubwa ndani ya Hoteli ya Makka Al Mukaram mjini Mugadishu.

Saturday March 28, 2015 - 09:03:51 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3081
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 4 0
  • Share via Social Media

    Kwa siku ya pili Al-Shabab waendelea na opresheni kubwa ndani ya Hoteli ya Makka Al Mukaram mjini Mugadishu.

    Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen baado wamendelea na opresheni kubwa ndani ya Hoteli ya Makka Al Mukarama iliyopo mjini Mugadishu ambapo jana usiku waliudhibiti kwa nguvu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanamgambo wa Serikali ya FG wakishindwa kuingia na kuishia kuchungulia katika Majengo ya Hoteli ya Makka Al Mukarama
Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen baado wamendelea na opresheni kubwa ndani ya Hoteli ya Makka Al Mukarama iliyopo mjini Mugadishu ambapo jana usiku waliudhibiti kwa nguvu.Mwandishi wa SomaliMemo aliyoko mjini Mugadishu anaarifu kuwa milio ya risasi baado inasikika ndani ya Hoteli hiyo huko wanajeshi wa AMISOM na yale ya Alpha Group wakishindwa kuingia ndani ya majengo ya hoteli hiyo.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Mujahidina waliutwaa Hoteli hiyo tokea jana usiku huko wakiendelea kuwaua viongozi na Maofisa wakuu wa Serikali ya FG waliokamatawa wakiwa ndani ya Hoteli hiyo.Maafa yaliopatikana katika shambulio la Hoteli ya Makka Al Mukarama ni watu 35 ambao wengi wao wakiwa Maofisa wakuu na vigogo pamoja na wanadiplomasia wa Serikali ya FG.

Related Items