Wanajeshi 4 wa AMISOM wauawa baada ya kulengwa mlipuko katika mji wa Marka.

Tuesday March 31, 2015 - 09:45:07 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1648
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 35
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi 4 wa AMISOM wauawa baada ya kulengwa mlipuko katika mji wa Marka.

    Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na milipuko mikubwa uliofanyika juzi ktaika mji wa Marka makao makuu ya Jimbo la Lower Shabelle nchini Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na milipuko mikubwa uliofanyika juzi ktaika mji wa Marka makao makuu ya Jimbo la Lower Shabelle nchini Somalia.

Habari kutoka Lower Shabelle zinaeleza kuwa milipuko mitatu yaliofuatana yalilengwa Magari ya wanajeshi wa Burundi walio sehemu ya wanajeshi wavamizi wa Msalaba waliojiita AMISOM katikati mwa mji wa Marka.Walioshuhudia wanasema Magari mawili ya AMISOM yaliteketea baada ya kulengwa milipuko hizo.

Duru ziliarifu kuwa Wanajeshi 4 wa Burundi waliuawa kutokana na shambulio hilo huko wengine 8 wakijeruhiwa vibaya,Mji wa Marka ni baadhi ya maeneo yalio chini ya Wavamizi wa Kigeni ambalo hukutana na upinzani mkali kutoka kwa Mujahidina.

Related Items