Mashambulio yaliofanyika dhidi ya vituo vya wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Kuddaa.

Tuesday March 31, 2015 - 09:46:30 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1797
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Mashambulio yaliofanyika dhidi ya vituo vya wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Kuddaa.

    Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumefanyika makabiliano makali kwenye eneo waliokuwepo wanamgambo wanaoiunga mkono Serikali ya FG.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumefanyika makabiliano makali kwenye eneo waliokuwepo wanamgambo wanaoiunga mkono Serikali ya FG.Usiku wa kuamkia 30,03,2015 vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio yaliodumu karibu saa nzima dhidi ya kituo cha wanamgambo wa FG katika eneo la Sinka Deer.Wakaazi walisema kuwa walisikia milio ya silaha nzito pamoja na risasi za rashasha waliokuwa wakirushiana makundi waliopambana kwenye kituo cha Sinka Deer.


Upande mwingine Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Jubba walifanya mashambulio makali dhidi ya vituo vya wanajeshi wavamizi wa msalaba kutoka Kenya kwenye eneo la Kuddaa.

Related Items