Watu waliojihami na silaha waua Maaskari na kuchukua Silaha Jijini Dar Es Salaam.

Tuesday March 31, 2015 - 09:51:16 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 6123
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 2 2
  • Share via Social Media

    Watu waliojihami na silaha waua Maaskari na kuchukua Silaha Jijini Dar Es Salaam.

    Wakati ambapo hali ya usalama ukiendelea kuyumba mauaji inayowalenga maofisa wa Jeshi la Polisi unaendelea kushika kasi katika miji mikubwa nchini Tanzania.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Askari Polisi aliyeuawa usiku wa kuamkia leo katika kizuizi cha Kongowe
Wakati ambapo hali ya usalama ukiendelea kuyumba mauaji inayowalenga maofisa wa Jeshi la Polisi unaendelea kushika kasi katika miji mikubwa nchini Tanzania.Habari kutoka mjini Dar Es Salaam zinaeleza kuwa usiku wa kuamkia leo watu waliokuwa na silaha wamefanya shambulio kwenye Kizuizi cha Maaskari Polisi katika eneo la Kongowe waliokuwa eneo hilo.


Habari zaidi zinaeleza kuwa washambuliaji hao waliwaua Maaskari wote waliokuwa kwenye Beria hiyo ya Kongowe na hatimae kuchukua silaha zao walizokuwanazo.Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa mashambulio yanayowalenga Maofisa wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania,Kiongozi wa nchi hiyo Kibaraka Jakaya Mrisho Kikwete amelitaja mashambulio haya kuwa yana sura ya Ugaidi.


Serikali Kibaraka nchini Tanzania inawashikilia Mamia ya waislaam kwa tuhuma za Ugaidi huko vijana kadhaa wakiuawa na viongozi wao wakifanyiwa vitendo vilio kinyume na haki za Binaadam pamoja na vitendo vya ulawiti wakiwa katika Magereza mbalimbali nchini humo.

Related Items