Ni Maadui chukua tahadhari kwao (Sehemu ya 3).

Wednesday April 01, 2015 - 23:24:47 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4261
  • (Rating 2.9/5 Stars) Total Votes: 42
  • 2 1
  • Share via Social Media

    Ni Maadui chukua tahadhari kwao (Sehemu ya 3).

    Kama ilivyo kawaida ya maadui wakishaona dalili ya mwamko wa kundi au watu flani wanaotaka kujinasua khususan (waislaam) kutoka katika unyonge na kwenda katika Izza basi lazima wawe na silaha mbadala ya kumpiga huyo anaetaka kujinasua na kutaka kuwa

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kama ilivyo kawaida ya maadui wakishaona dalili ya mwamko wa kundi au watu flani wanaotaka kujinasua khususan (waislaam) kutoka katika unyonge na kwenda katika Izza basi lazima wawe na silaha mbadala ya kumpiga huyo anaetaka kujinasua na kutaka kuwa huru.Na silaha yao kubwa ni kuwatumia wale wanaoitwa kuwa ni viongozi wa Kiislaam au Mashekhe waliodhulumu nafsi zao baada ya kuuza Dini kutokana na njaa yao iliyotoka tumboni na kisha kuhamia akilini na ndio maana maadui wakaamua kutumia mwanya huo wa hao wanaojiita Mashekhe.
Utawakuta wao ndio wasemaji hata kuwazidi mabwana zao waliowapa kazi ya kuwadanganya umma wa Kiislaam kwa kushiriki mechi au vikao yalioandaliwa na Maadui mechi au kikao ambayo kimepewa nembo ya "Amani" mechi ya mpira ya miguu kati ya viongozi wa Makafiri na Mashekhe waliouza Dini yao,Allah anasema katika Qur'an kwa hao mashekhe wanaoshirikiana na Makafiri na kukaa nao meza mmoja..مُّذَبْذَبِينَ بَيْنَ ذَٰلِكَ لَآ إِلَىٰ هَٰٓؤُلَآءِ وَلَآ إِلَىٰ هَٰٓؤُلَآءِ
"Wanayumba yumba baina ya huko (kwa waislaam) na huko (kwa Makafiri) huko hawapo wala kule hawako",Annisaa 143


Baadhi ya viongozi wa Dini Mseto na Ulinzi Shirikishi wakiwa picha ya Pamoja Mkoani Mwanza.وَإِذَا رَأَيْتَهُمْ تُعْجِبُكَ أَجْسَامُهُمْ ۖ وَإِن يَقُولُوا۟ تَسْمَعْ لِقَوْلِهِمْ
"Ukiwaona utastajaabu nyuso zao,na wakinena sikiliza kauli zao"  (Munafiquun 63:4).Hayo ndio mkakati wa Maadui kwa kuwachukua na kuwatumia Baadhi ya wale wanaojiita kuwa ni Mashekhe ili kuwaharibu fikra na akili za wale wasioufahamu Sheria na kanuni za Uislaam,Madui hao wana miradi mingi kwa mashekhe hao,huyo anaeitwa Al Had Mussa na kiongozi mmoja wa Makafiri wamepewa vipindi maalum kwenye Radio za hapa nchini kwa siku huenda ukamsikia mara kadhaa wakiimba nyimbo ya "Amani"!.Amani huo utadhani wao ndio wanao kwani hakuna Muislaam asiyeufahamu nchi hii hakuna Amani kwa waislaam na Uislaam,hakuna asiyefahamu viongozi waliosimama imara leo wakiwa ndani ya magereza na wanakutana na Madhila yasio faaa hata kusemwa hapo,kwani yanadhalilisha yana chukiza yanadhihirisha wazi kipimo cha uadui dhidi ya waislaam na uislaam.Itaendelea Inshaallah....

Abdallah Al Bajuni


Dar Es Salaam-Tanzania

TNB:
Mwandishi amejitambulisha kuwa ni Msomaji wa mtandao wa kiislaam wa SomaliMemo

Related Items