PICHA:Mujahidina wa Ansaru Sheria'h wawaachia mamia ya wafungwa katika Gereza mmoja iliyoko mji wa Al Mukallah nchini Yemen.

Thursday April 02, 2015 - 23:08:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3373
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 35
  • 2 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Mujahidina wa Ansaru Sheria'h wawaachia mamia ya wafungwa katika Gereza mmoja iliyoko mji wa Al Mukallah nchini Yemen.

    Baada ya mapigano makali yaliofanyika katika mji wa Al Mukallah nchini Yemen vikosi vya Mujahidina wa Ansaru Sheri'ah wamefanikiwa kuutwaa vituo kadhaa vya Serikali.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Baada ya mapigano makali yaliofanyika katika mji wa Al Mukallah nchini Yemen vikosi vya Mujahidina wa Ansaru Sheri'ah wamefanikiwa kuutwaa vituo kadhaa vya Serikali.Habari kutoka mji wa Al Mukallah zinaeleza kuwa Mujahidina wa Ansaru Sheri'ah waliudhibiti kitu cha Benki kuu,Makao makuu ya Mkoa pamoja na kituo kikuu cha Polisi.
Mashuhuda wamesema Ansaru Sheri'ah waliingia kwa nguvu Gereza kuu la mji wa Al Mukallah na wamewaachilia mamia ya waislaam waliokuwa wakishikiliwa kwa kile kinachodaiwa tuhuma za Ugaidi.Walioachiwa ni pamoja na Afisa mwenye ushawishi mkubwa wa Mujahidina wa Al Qaida ambapo miaka miwili iliyopita aliingia mikononi mwa utawala uliokuweko wakati huo nchini Yemen.
Embedded image permalink
Watu walio na umaarufu katika kuripoti habari za Kijihadi wamethibitisha kukombolewa kwa Sheikh Khalid Badrifi ambayo alikuwa miongoni mwa Mashekhe nchini Yemen pamoja na Mujahidina.Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Mujahidina wa Ansaru Sheri'ah baada ya kuwakomboa wafungwa waliondoka nao sehemu iliyo salama zaidi,mji wa Mukallah ni upande wa Kusini nchini Yemen na ni mji ulio na umuhimu wake ulio na Bahari.Al Qaida tawi la Arabuni katika miezi za hivi karibuni ilikuwa ikijipanua Ardhi kubwa nchini Yemen huko ikikabiliana vilivyo na wanamgambo wa Kishia wa Huthi.

Embedded image permalink
Embedded image permalink

Related Items