Breaking News:Vikosi vya Al-Shabab baado waendelea kushikilia Majengo ya chuo kikuu cha mjini Garisa na Idadi ya waliouawa yafikia 150.

Thursday April 02, 2015 - 23:10:16 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 6181
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 5 1
  • Share via Social Media

    Breaking News:Vikosi vya Al-Shabab baado waendelea kushikilia Majengo ya chuo kikuu cha mjini Garisa na Idadi ya waliouawa yafikia 150.

    Kumepatikana taarifa zaidi kuhusiana na mashambulio makubwa yalioanza mapema leo Alfajiri katika mji wa Garisa kaskazini Mashariki mwa Ardhi ya Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kumepatikana taarifa zaidi kuhusiana na mashambulio makubwa yalioanza mapema leo Alfajiri katika mji wa Garisa kaskazini Mashariki mwa Ardhi ya Kenya.Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen baado wamendelea kushikilia Majengo ya Chuo kikuu cha mjini Garisa ambapo wamewaua makumi ya wakristo waliokuwa kwenye chuo hicho.
Duru za kuaminika zinaeleza kuwa watu waliouawa kwenye chuo hicho cha Garisa wamefikia watu 150 huko nje ya chuo hicho wakiokotwa miili ya watu waliokufa 30.Milio ya risasi na milipuko mikubwa yalisikika ndan ya mji wa Garisa usiku huu wa leo nyakati za Maghrib,maelfu ya wanajeshi pamoja na Polisi wamefikia mji wa Garisa lakini wamefeli na kushindwa kuwaokoa wakristo wanao angamizwa ndani ya chuo cha Garisa.


Tutawaletea taarifa zaidi endelea kufutilia Inshallah

Related Items