Vikosi vya Al Qaida waudhibiti kiukamilifu mji wa Al Mukallah na Mahuthi waondolewa Aden.

Saturday April 04, 2015 - 23:59:29 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2804
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Al Qaida waudhibiti kiukamilifu mji wa Al Mukallah na Mahuthi waondolewa Aden.

    Habari kutoka nchini Yemen zinaeleza kuwa mapigano makali yanaendelea maeneo mengi ya mikoa ya Kusini na kusini mashariki mwa nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Yemen zinaeleza kuwa mapigano makali yanaendelea maeneo mengi ya mikoa ya Kusini na kusini mashariki mwa nchi hiyo.


Wanamgambo wa kishia wa Huthi walifanikiwa kuingia ndani ya mji wa Aden iliyo makao ya mpito kwa Serikali dhaifu ya nchi hiyo,walioshuhudia wanasema Mahuthi waliutwaa Kasri ya Rais na vituo vingine vya Serikali lakini mashambulio yaliofanywa na ndege za ushirika unaongozwa na Saudia Arabia imeilazimisha wanamgambo hao kurudi nyuma.Baada ya Mapambano yaliochukua muda mrefu inasemekana wanamgambo wa Baraza la wananchi wanaomwunga mkono Abdi Rabih hadi Mansur kuiteka baadhi ya mitaa mjini Aden ambapo wanamgambo wa kishia wa Huthi walikuwa wameingia kwa nguvu.


Upande mwingine vikosi vya Mujahidina wa Ansaru Sheri'ah wamejisambaza katika mji wa Al Mukallah makao makuu ya mkoa wa Hadhramuut,vyanzo vya kuaminika vilithibitisha kuwa mamia ya wapiganaji wa Al Qaida wameweka vizuizi vya barabarani kwenye mji huo kwa lengo la kulinda usalama.


Mujahidina wameutwaa kituo cha pili cha Jeshi na Ghala kubwa za Silaha,wanajeshi waliokuwa katika uwanja wa ndege na vituo vilio karibu na uwanja huo walifanya makabiliano mafupi na Mujahidina.


تنظيم القاعدة هاجم أمس مواقع في مدينة المكلا (الجزيرة)


Habari zaidi zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina wa Al Qaida hivi sasa wanaitwala mji huo na hakuna upinzani wowote kutoka kwa wafuasi wa Hadi Mansur ambao wako upande mmoja wa mji huo.


Nchi ya Yemen kuna makabiliano yalio na sura nyingi ambao ni kati ya makundi mbalimbali na inaonyesha wazi Mujahidina wanafaidika kutokana na kusambaratika kwa Serikali ya Yemen.

Related Items