Serikali ya Kenya yatangaza hali ya hatari katika miji Minne baada ya Shambulio la Garissa na kutangaza siku 3 ya maombolezo.

Sunday April 05, 2015 - 00:01:35 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3762
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 35
  • 1 3
  • Share via Social Media

    Serikali ya Kenya yatangaza hali ya hatari katika miji Minne baada ya Shambulio la Garissa na kutangaza siku 3 ya maombolezo.

    Baada ya shambulio yaliosababisha hasara kubwa katika mji wa Garissa Utawala wa Kenya umetangaza hali ya kutotoka nje kwa miji minne yanayopakana na mpaka wa kizushi kati yake na Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Baada ya shambulio yaliosababisha hasara kubwa katika mji wa Garissa Utawala wa Kenya umetangaza hali ya kutotoka nje kwa miji minne yanayopakana na mpaka wa kizushi kati yake na Somalia.Waziri wa Ulinzi wa Kenya amesema kuwa hali hiyo inahusu miji ya Garissa,Mandera,Wajeer,na Tanariva.
Maelfu ya Jeshi la Polisi walionekana wakiranda randa katika mkoa ulio katika ukoloni wa Kenya ambao Serikali ya Kenya imeiita kuwa ni Mkoa wa "Kaskazini Mashariki".Kiongozi wa Kenya Uhuru Kenyatta ameitaja yaliotokea katika mji wa Garissa kuwa ni Mauaji ya Halaiki yaliofanywa na Magaidi dhidi ya wananchi wa Kenya kama alivyonukuliwa na vyombo vya habari.Upande mwingine Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa Bendera ya nchi hiyo itapepea nusu mlingoti kwa siku tatu ya kuomboleza Shambulio yaliowaua zaidi ya watu 150 kwenye chuo kikuu cha mji wa Garissa.Katika miaka mitatu yaliopita Kenya ilitumbukia Dimbwi la Mashambulio makubwa tangu kuingia kwake kijeshi katika Ardhi ya Waislaam wa Somalia.

Related Items