Mashambulio makali yaliofanyika Ikulu ya mji wa Bosaso.

Monday April 06, 2015 - 21:52:48 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1905
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mashambulio makali yaliofanyika Ikulu ya mji wa Bosaso.

    Habari kutoka mji wa Bosaso zinaeleza kuwa mapigano makali yamefanyika usiku wa kuamkia leo karibu na majengo ya Ikulu ya Rais katika utawala uliojiita wa Puntland kaskazini mashariki mwa Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mji wa Bosaso zinaeleza kuwa mapigano makali yamefanyika usiku wa kuamkia leo karibu na majengo ya Ikulu ya Rais katika utawala uliojiita wa Puntland kaskazini mashariki mwa Somalia.Milio ya risasi waliokuwa wakirushiana yalisikika katika eneo la kizuizi la Ikulu ya mji wa Bosaso,walioshuhudia wanasema walisikia milio ya Risasi na silaha ya kurushwa Begani.
Habari za kuaminika zimethibitisha kuwa Kikosi kinachounga mkono Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio ya pembe tatu dhidi ya wanamgambo waliokuwa wakilinda Majengo ya Ikulu.Mpaka sasa haijajulikana hasara iliyosababishwa na mashambulio hayo ya mji wa Bosaso kutokana na kuwa usiku wenye giza nene na wanamgambo wa utawala wa Puntland nao kufunga Barabara zote muhimu ya mji huo.

Related Items