Afisa wa Serikali ashambuliwa na Al-Shabab wafanya Doria katika mji wa Marka.

Monday April 06, 2015 - 21:54:09 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1956
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Afisa wa Serikali ashambuliwa na Al-Shabab wafanya Doria katika mji wa Marka.

    Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na mashambulio kadhaa yaliofanyika masaa machache yaliopita katika vijiji na miji yalio chini wavamizi wa Wanajeshi wa AMISOM mkoani Lower Shabelle.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na mashambulio kadhaa yaliofanyika masaa machache yaliopita katika vijiji na miji yalio chini wavamizi wa Wanajeshi wa AMISOM mkoani Lower Shabelle.Habari kutoka Wilaya ya Afgoye zinaarifu kuwa mkuu wa Polisi wa mji huo ameshambuliwa kwa mabomu wakati ambapo kulifanyika makabiliano makali kwenye mtaa wa Mukayga.Duru ziliarifu kuwa Maaskari wawili wamejeruhiwa na kuaawa kwenye shambulio la mji wa Afgooye,upande mwingine kuna taarifa kuwa wapiganaji wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya Doria katika baadhi ya mitaa ya mji wa Marka makao makuu ya mkoa wa Lower Shabelle. 

Related Items