Ndege za kivita ya Kenya yafanya mashambulio kwenye Kijiji kimoja Mkoani Gedo.

Monday April 06, 2015 - 21:58:07 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4227
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Ndege za kivita ya Kenya yafanya mashambulio kwenye Kijiji kimoja Mkoani Gedo.

    Habari kutoka mkoani Gedo ulio upande wa kusini magharibi mwa Somalia zinaarifu kuwa ndege za kivita za Jeshi la Kenya limefanya mashambulio katika kijiji kilio chini ya mji wa Beled Haawo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Gedo ulio upande wa kusini magharibi mwa Somalia zinaarifu kuwa ndege za kivita za Jeshi la Kenya limefanya mashambulio katika kijiji kilio chini ya mji wa Beled Haawo.Mapema leo nyakati ya Adhuhuri Ndege ya kijeshi kutoka Kenya kilidondosha mabomu kadhaa kwenye kijiji cha Gaddoon Dawe iliyo karibu sana na mpaka wa kizushi kati ya Kenya na Somalia.Duru ziliarifu kuwa mifugo kadhaa yakiwemo Mbuzi na Ngamia zimeathiriwa na mashambulio hayo ingawa hakuna maelezo zaidi kuhusiana na hasara rasmi iliyopatikana kutokana na Ndege za Kenya kufanya mashambulio mapema leo.


Ni shambulio la kwanza kufanywa na Kenya katika Ardhi ya Somalia tangu kufanyika opresheni iliyosababisha hasara kubwa katika mji wa Garissa na ambapo ilifanywa na Mujahidina wa Al-Shabab Al Khamisi iliyopita. 

Related Items