PICHA:Wanajeshi wa Kishia wa Iran wauawa kwenye shambulio la kuvizia na wapiganaji wa Kiislaam wadai kutekeleza.

Tuesday April 07, 2015 - 22:05:29 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3774
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 0 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Wanajeshi wa Kishia wa Iran wauawa kwenye shambulio la kuvizia na wapiganaji wa Kiislaam wadai kutekeleza.

    Habari kutoka mkoa wa Bolijistan eneo linalotawaliwa na Iran zinaarifu kuwa wanajeshi 10 wa Jeshi la Iran wanaolinda mipaka wameuawa kwenye shambulio la kuvizia iliyotekelezwa na Mujahidina.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Bolijistan eneo linalotawaliwa na Iran zinaarifu kuwa wanajeshi 10 wa Jeshi la Iran wanaolinda mipaka wameuawa kwenye shambulio la kuvizia iliyotekelezwa na Mujahidina.


Asfar Mishirkari ambae ni kiongozi upande wa usalama katika eneo linalotawaliwa na Iran ameliambia shirika la habari la Iran kuwa wapiganaji waliojihami vilivyo waliwashambulia na kuwaua wanajeshi 8 "Makundi ya Kigaidi yaliojihami na silaha yamefanya mashambulio kwa msafara wa wanajeshi wanaolinda mpakani na baadae wamekimbia kurudi upande wa Pakistan",alisema Afisa huyo aliyezumgumza kwa niaba ya Iran.
Mwezi uliopita Mujahidina wa Jundullah walidai kutekeleza mashambulio kadhaa iliyowaua wanajeshi wa Iran,kwa upande wa Utawala kibaraka wa Pakistan imesema kuwa wapiganaji wa Kiislaam waliotekeleza shambulio hilo dhidi ya Iran hawakuingia nchi yake.Taarifa rasmi iliyotolewa na Kundi la Jeyshul Adli limedai kuwa Mujahidina wa kundi hilo ndio waliotekeleza shambulio la mwisho iliyowalenga wanajeshi wa Kishia wa Iran na kutishia kuwa wataendelea kuongeza mashambulio yao dhidi ya Serikali ya Iran hadi hapo Utawala huo wa Iran itakapoendelea kuukalia Ardhi za Waislaam wa Kisunni.Mgongano wa kisiasa uliopo baina ya Utawala wa Islamabad na Tehran umepelekea Pakistan kutuma wanajeshi wake kwa Saudi Arabia ili kushiriki mapigano ya kuwafurusha wapiganaji wa Kishia wa Huthi nchini Yemen.
Related Items