Gari la Kijeshi la AMISOM yateketezwa kwa moto katika eneo la Garasbaaley nje kidogo na mji wa Mugadishu.

Thursday April 09, 2015 - 08:24:08 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2269
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 1 2
  • Share via Social Media

    Gari la Kijeshi la AMISOM yateketezwa kwa moto katika eneo la Garasbaaley nje kidogo na mji wa Mugadishu.

    Shambulio iliyowalenga wanajeshi wa Kigeni wa AMISOM katika eneo lililo nje kidogo na mji wa Mugadishu imesababisha hasara kubwa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Shambulio iliyowalenga wanajeshi wa Kigeni wa AMISOM katika eneo lililo nje kidogo na mji wa Mugadishu imesababisha hasara kubwa.Habari kutoka katika eneo la Garasbaaley nje ya mji wa Mugadishu imethibitisha kuwa mmoja ya Magari za Kijeshi ya AMISOM imeteketea kwa moto baada ya kuzingirwa na mlipuko wa Bomu la kutegwa Ardhini.
Walioshuhudia wanasema Bomu la kutegwa Ardhini iliteketeza Gari kubwa la Wanajeshi wa Kigeni na hatimae wanajeshi wote waliokuwemo kwenye Gari hilo wamekuwa wenye kuuawa na kujeruhiwa.Harakat Al-Shabab Al Mujahideen iko kwenye makabiliano makali ya kila pande dhidi ya wanajeshi wa kigeni waliojiita AMISOM ambao wamefanya uvamizi wa Msalaba katika Ardhi ya waislaam wa Somalia.

Related Items