Al Qaida Tawi la Arabuni yaahidi zawadi kwa yeyote takaefanikisha kumwua Ali Abdallah Saleh na kiongozi wa Wahuthi.

Friday April 10, 2015 - 07:35:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2491
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 50
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Al Qaida Tawi la Arabuni yaahidi zawadi kwa yeyote takaefanikisha kumwua Ali Abdallah Saleh na kiongozi wa Wahuthi.

    Mujahidina wa Al Qaida tawi lake la Arabuni imetangaza zawadi za mamilioni ya dola za kimarekani kwa yeyote atakaefanikisha kumwua au kumkamata Ali Abdallah Saleh kiongzi wa zamani nchini Yemen na Abdilmalik Al Huthi kiongozi wa wanamgambo wa kishia

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mujahidina wa Al Qaida tawi lake la Arabuni imetangaza zawadi za mamilioni ya dola za kimarekani kwa yeyote atakaefanikisha kumwua au kumkamata Ali Abdallah Saleh kiongzi wa zamani nchini Yemen na Abdilmalik Al Huthi kiongozi wa wanamgambo wa kishia wa Huthi.Taarifa rasmi iliyotolewa na Uongozi wa Al Qaida Tawi la Arabuni ilisema kuwa chanzo cha Shari yote nchini Yemen ni Ali Abdallah Saleh na yeyote atakaefanikiwa kumwua atapewa zawadi ya Dhahabu yenye uzito wa KG 40.
Al Qaida imesema kuwa Ali Abdallah Saleh ni mwanafunzi wa Jamhuri ya Kishia ya Iran na kutaka kuifanya Yemen ni nchi inayoiunga mkono Iran.Hata hivyo Mujahidina wametoa zawadi nyingine ya Dhahabu yenye uzto wa KG 40 kwa yeyote atakae tenganisha kichwa cha kiongozi wa wanamgambo wa kishia wa Huthi Abdil Malik Al Huthi ambao wanamgambo wake wameuteka maeneo mengi ya Miji mikubwa nchini Yemen.

Related Items