Kikosi cha Mainjinia na wataalamu wa Internet ya Dola ya Kiislaam washambulia Data za vyombo vya habari nchini Ufaransa.

Friday April 10, 2015 - 07:48:13 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3447
  • (Rating 3.1/5 Stars) Total Votes: 31
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Kikosi cha Mainjinia na wataalamu wa Internet ya Dola ya Kiislaam washambulia Data za vyombo vya habari nchini Ufaransa.

    Kikosi cha Mainjinia na wataalamu wa Masuala ya Tarakilishi yaani Internet ya Dola ya Kiislaam wamefanya mashambulio mengine mapya dhidi ya mataifa ya Kimagharibi ambao wanaongoza vita dhidi ya Uislaam.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kikosi cha Mainjinia na wataalamu wa Masuala ya Tarakilishi yaani Internet ya Dola ya Kiislaam wamefanya mashambulio mengine mapya dhidi ya mataifa ya Kimagharibi ambao wanaongoza vita dhidi ya Uislaam.Shirika la habari la taifa la Ufaransa limetangaza kuwa watu walio na ujuzi mkubwa wa masuala ya Tarakilishi wameushambulia na kuishikilia mashirika muhimu ya habari pamoja na televisheni kwa muda wa masaa kadhaa.
Mkuu wa vyombo vya habari nchini France ameliambia AFP kuwa watu wanaoiunga mkono IS wameishambulia tovuti maalum za televisheni za Ufaransa na kisha kuandika vitisho vilio dhidi ya Utawala wa Ufaransa "Kwa hakika mmeshiriki vita iliyo dhidi ya Khilafah ya Waislaam na mkae mkijua kuwa Mujahidina watawalenga popote watakapokuoneni",ilidai sehemu ya ujumbe ulioachwa na makundi hayo ambao waliweka katika tovuti walizozishambulia.Mkurugenzi wa Televisheni ya "PV5 Mounda" amethibitisha kuwa televisheni yake kwa muda wa masaa kadhaa ilkuwa ikishikiliwa na "Jihadi Electronic" lakini baada ya masaa yaliachiwa na kuwa katika hali ya kawaida huduma za vyombo vya habari nchini Ufaransa.Makundi hayo ya Kiislaam imetoa ujumbe kwa Maofisa wa Kijeshi wa Ufaransa ambao wameilaumu kuwa katika vita yalio dhidi ya waislaam na wamewaonya kuacha mara mmoja Uadui ulio dhidi ya Dini "Waokoeni watu wenu na muache kuingia katika moto aliyoiwasha Franso Hollande".Vikosi vya IS wanaoitawala Ardhi kubwa ya Iraq na Syria wana ushawishi mkubwa kote Duniani baada ya kuwakata vichwa vya maelfu ya Raia wa mataifa Kigeni khususan nchi za Magharibi pamoja na Makundi ya Kishia.

Related Items