SOMA:Kiongozi wa kundi la Kijihadi la Ajnad la nchini Misri apata Shahada kwenye shambulio iliyofanyika nje ya mji wa Kairo.

Friday April 10, 2015 - 07:51:43 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3641
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 0 1
  • Share via Social Media

    SOMA:Kiongozi wa kundi la Kijihadi la Ajnad la nchini Misri apata Shahada kwenye shambulio iliyofanyika nje ya mji wa Kairo.

    Taarifa rasmi uliotolewa na ofisi ya habari ya kundi la Ajnadi la nchini Misri imethibitisha Ishtish-haadi ya Amiri wa Kundi hilo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Taarifa rasmi uliotolewa na ofisi ya habari ya kundi la Ajnadi la nchini Misri imethibitisha Ishtish-haadi ya Amiri wa Kundi hilo.Ajnadi Misri imesema katika taarifa yake kuwa makabiliano yaliofanyika Kairo ambao iliwahusisha kati ya Maaskari Polisi wa Utawala wa Misri na Mujahidina imesababisha kuuawa Sheikh Hammaam Adiya al maarufu kwa jina la "Majdudiin Al Masry".


"Ummah wa Kiislaam tunawatangazia Istish-haadi ya Sheikh Al Mujahidi Hammaam Adiya baada ya kukabiliana na Mataghuti",ilidai sehemu ya taarifa iliyotolewa na Ajnadi Misri.Mujahidina wa Ajnadi Misri wametangaza kumchagua Amiri mpya Sheikh Izzudyn Al Misry,Makundi ya kijihadi ikiwemo Ajnad ni mmoja wapo ya makundi wapiganaji wa Kiislaam yaliochipuka baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini Misri iliyomwaga damu nyingi.
bayana

Related Items