Makumi ya wanamgambo wa Huthi wauawa nchini Yemen na Ansaru Sheriah yathibitisha kuhusika.

Sunday April 12, 2015 - 18:43:43 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2179
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Makumi ya wanamgambo wa Huthi wauawa nchini Yemen na Ansaru Sheriah yathibitisha kuhusika.

    Kwa mara nyingine tena wanamgambo wa Kishia Huthi waliouteka miji mikubwa nchini Yemen wamekutana na hasara kubwa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kwa mara nyingine tena wanamgambo wa Kishia Huthi waliouteka miji mikubwa nchini Yemen wamekutana na hasara kubwa.Habari kutoka mkoa wa Shabwah kusini mwa Yemen zinaeleza kuwa milipuko mikubwa yliowalenga wanamgambo wa Kishia wa Huthi.Walioshuhudia wanasema Gari iliyokuwa imejazwa vitu vya vilipuzi ililipuka katika kituo cha Polisi cha mji wa Beyhan na kusababisha maafa ya wanamgambo zaidi ya 40.Taarifa rasmi iliyotolewa na Mujahidina wa Ansaru Sheriah imetaja kuwa Mujahidina walifanya Aamiliya Istish-haadiyah kwenye eneo la mkusanyiko wa mji wa Beyha na kuwaangamiza makumi ya wanamgambo hao.Wiki iliyopita Mawakala wa Iran waliuteka Maeneo mengi ya mkoa wa Shabwah baada ya kukabiliana na makundi ya kikabila na Mujahidina.

Related Items