Maaskari wa Serikali ya FG wauawa kwenye mtaa wa Sinaay mjini Mugadishu.

Sunday April 12, 2015 - 18:48:22 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1940
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Maaskari wa Serikali ya FG wauawa kwenye mtaa wa Sinaay mjini Mugadishu.

    Habari kutoka Wilaya ya Yaqshiid mjini Mugadishu zinaeleza kuwa watu waliokuwa wamejihami na silaha waliwaua Maaskari wawili wa Serikali ya FG.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Wilaya ya Yaqshiid mjini Mugadishu zinaeleza kuwa watu waliokuwa wamejihami na silaha waliwaua Maaskari wawili wa Serikali ya FG.Walioshuhudia wameliambia SomaliMemo kuwa Maaskari wawili wa Serikali ya FG walipigwa risasi karibu na kituo cha TB katika mtaa wa Sinaay khususan sehemu inayounganisha kati ya Yaqshiid na Wardigley mjini Mugadishu.
Wanaume waliokuwa na silaha aina ya Bastola ndio waliotekeleza shambulio hilo na kisha kuondoka eneo la tukio bila bughdha yeyote,habari zaidi zinaeleza kuwa Maaskari waliouawa ambayo walikuwa na silaha aina ya AK47 kila mmoja wao walishindwa kupata msaada kutoka kwa wenzao waliokuwa katika makutano ya Sinaay.Mauaji na milipuko yanayowalenga Maaskari wa Serikali ya FG yamekuwa kawaida katika miji ya mkoa wa Banadir na inaonyesha wazi hali ya usalama mjini Mugadishu umeshindikana.

Related Items