Wizara ya ulinzi wa Serikali ya FG washambuliwa mjini Mugadishu.

Sunday April 12, 2015 - 23:00:10 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2066
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Wizara ya ulinzi wa Serikali ya FG washambuliwa mjini Mugadishu.

    Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen usiku huu wamerusha mizinga kadhaa katika Majengo ya Wizara ya ulinzi wa Serikali ya FG iliyopo mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen usiku huu wamerusha mizinga kadhaa katika Majengo ya Wizara ya ulinzi wa Serikali ya FG iliyopo mjini Mugadishu.

Kwa uchache Mizinga 10 yaliangukia ndani ya jengo la Wizara hiyo ambayo ni makao ya Maofisa wakuu wa Jeshi la kigeni la AMISOM na yale ya Ethiopia pamoja na Serikali ya FG.Liban Jehow ambae ni mwandishi wa SomaliMemo mjini Mugadishu amearifu kuwa wapiganaji wanaoiunga mkono Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walishambulia na kulenga wakati ambapo maofisa wa Serikali ya FG walipofika eneo hilo ili kuweza kuhudhuria Sherehe uliopangwa kufanyika kesho.

Related Items