Wakristo wazikimbia makaazi yao katika mkoa wa Kaskazini Mashariki na Wiliam Ruto aitishia Al-Shabab.

Tuesday April 14, 2015 - 07:58:40 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2742
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 36
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wakristo wazikimbia makaazi yao katika mkoa wa Kaskazini Mashariki na Wiliam Ruto aitishia Al-Shabab.

    Tangu kufanyika shambulio la mji wa Garissa iliyosababisha hasara kubwa kunaarifiwa kuwepo mabadiliko upande wa makaazi katika mkoa ulio chini ya koloni ya Kenya Kaskazini Mashariki.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Tangu kufanyika shambulio la mji wa Garissa iliyosababisha hasara kubwa kunaarifiwa kuwepo mabadiliko upande wa makaazi katika mkoa ulio chini ya koloni ya Kenya Kaskazini Mashariki.Habari kutoka katika mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya zinaeleza kuwa Jamii ya Kikristo waliokuwa wakiishia kwenye miji ya Mandera,Garissa na Wajeer wameanza kuhama kutoka miji hizo.
Mkuu wa Wilaya ya Mandera amewaambia vyombo vya Habari kuwa Mamia ya Wananchi wa Kenya wameanza kukimbia na kuelekea upande wa mji wa Nairobi baada ya hali ya usalama kuwa tete katika mkoa wa Kaskazini Mashariki.Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti kuwa Waalimu na wanafunzi wa Kikristo waliokuwa mji wa Garissa na Mandera wamekimbia na kuelekea upande wa mji wa Nairobi kutokana na khofu ya mashambulio mengine.Upande mwingine Makamu wa Rais wa Kenya Wiliam Ruto amesema kuwa Wanajeshi wa Kenya waliopo katika Ardhi ya Somalia hawatoondoka na watapigana na Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.

Related Items