Kituo cha Wanajeshi wa Kenya katika eneo la Tabto washambuliwa.

Tuesday April 14, 2015 - 08:02:20 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3489
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 6
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Kituo cha Wanajeshi wa Kenya katika eneo la Tabto washambuliwa.

    Habari kutoka katika mkoa wa Lower Jubba zinaeleza kuwa mapambano makali yamefanyika katika eneo la Tabto ambayo kuna kituo cha Wanajeshi wa Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika mkoa wa Lower Jubba zinaeleza kuwa mapambano makali yamefanyika katika eneo la Tabto ambayo kuna kituo cha Wanajeshi wa Kenya.


Usiku wa kuamkia leo vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio makali kwenye kijiji cha Tabto ambayo ni makao ya Wanajeshi wavamizi wa misalaba kutoka Kenya,wakaazi wa kijiji cha Tabto wamesema walisikia milio ya risasi na silaha nzito waliokuwa wakirushiana pande zilizokabiliana.Mwandishi wa habari aliyoko katika mkoa wa Lower Jubba amearifu kuwa Gari iliyokuwa ikimilikiwa na Adui imeteketezwa kwenye mapambano hayo,Taarifa za mwisho zimeeleza kuwa Wanajeshi wa Kenya walikata mawasiliano ya kijiji.


Kijiji cha Tabto kiko chini ya Wilaya ya Dobley na miaka ya hivi karibuni kulikuwa na Mashambulio yaliokuwa yakiwalenga Wanajeshi wavamizi kutoka Kenya.LIban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items