UFAFANUZI:Shambulio iliyofanyika katika Wizara ya Elimu na Maofiisa wa Serikali ya FG waliouawa.

Wednesday April 15, 2015 - 10:46:05 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2413
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 35
  • 0 0
  • Share via Social Media

    UFAFANUZI:Shambulio iliyofanyika katika Wizara ya Elimu na Maofiisa wa Serikali ya FG waliouawa.

    Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na shambulio iliyosababisha hasara kubwa ambapo lilifanyika mapema jana Adhuhuri kwenye eneo la Makutano ya Zobe Wilayani Wadajir katikati mwa mji wa Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na shambulio iliyosababisha hasara kubwa ambapo lilifanyika mapema jana Adhuhuri kwenye eneo la Makutano ya Zobe Wilayani Wadajir katikati mwa mji wa Mugadishu.Shambulio hilo lilikuja Baada ya kikosi cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kuingia kwa nguvu Majengo ya Wizara ya Elimu na Nishati ya Serikali ya FG. Kwa uchache watu 18 wakiwemo viongozi wameuawa kwenye shambulio hilo huko idadi ya waliojeruhiwa wakiwa zaidi ya 35 kama walivyothibitisha wauguzi wa Afya mjini Mugadishu.


Viongozi walioathirika na shambulio hilo ni pamoja na Mkuu wa Jeshi la Wizara ya Elimu ambae alitajwa kwa jina la Sandere na Yusuf Ismail liyekuwa mratibu wa Wizara ya Elimu.


Harakat Al-Shabab Al Mujahideen limethibitisha kuhusika na Shambulio hilo la jana,katika siku za hivi karibuni Al-Shabab limezidisha opresheni zake inayolenga katika Majengo muhimu ya Serikali ya FG pamoja na Mahoteli yanayomilikiwa na watu Binafsi.


Related Items