SOMA:Al Qaida yatangaza Istish-haadi ya Sheikh Ibrahim Al Rubeyshi.

Wednesday April 15, 2015 - 11:07:47 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3952
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 46
  • 0 2
  • Share via Social Media

    SOMA:Al Qaida yatangaza Istish-haadi ya Sheikh Ibrahim Al Rubeyshi.

    Uongozi wa Al Qaida Tawi la Arabuni umetoa taarifa rasmi juu ya istish-haadi ya Sheikh Ibrahim Al Rubeyshi aliyekuwa mmoja wa viongozi wakuu wa Mujahidina wa Yemen.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Uongozi wa Al Qaida Tawi la Arabuni umetoa taarifa rasmi juu ya istish-haadi ya Sheikh Ibrahim Al Rubeyshi aliyekuwa mmoja wa viongozi wakuu wa Mujahidina wa Yemen.Kwanza kabisa katika Taarifa hiyo ilianza kwa Ayah za Qur'an zinazozungumzia fadhila za mtu aliyefia katika njia ya Allah neema pamoja na ujira aliyonayo katika nyumba yake ya Akhera,baada ya hapo Mujahidina katika Tamko yao wamesema."tumeipokea kwa simanzi na majonzi kuhusiana na Taarifa ya kifo cha Kiongozi Sheikh Ibrahim Al Rubeyshi,tunamwombea Allah aweze kumrehemu na kumsamahe na amweke katika Daraja la Mashuhadaa",ilisema sehemu ya Taarifa ya Al Qaida.


Al Qaida tawi lake la Arabuni limedai kuwa Sheikh Ibrahim Al Rubeysh aliondoka kutokana na mkono wa Amerika baada ya kufanya shambulio la ndege isiyo rubani Drone na hatimae kusababisha kifo chake alichokuwa akisubiria kwa muda mrefu.


Al Rubeyshi alikuwa Da'aia na Mujahid aliyepigana kwa njia ya Allah na ameacha historia inayong'aa katika harakati hizi za Jihadi ya zama hizi,Shahidi Bi'idhnillah Al Rubeyshi alikuwa maarufu pale aliposhiriki vita vigumu vya milima ya Torabora huko nchini Afghanistan na baadae alifungwa na kuwekwa katika Gereza la Mateso la Guantanamo.


Serikali ya Aala Saudi kwa upande wake ilikuwa ikimtafuta Sheikh Ibrahim Al Rubeyshi na wenzake ambapo walikuwa katika Orodha ya watu walioitwa kuwa ni Magaidi.


http://wata.cc/up/2015/04/images/w-fe6edbb1ed.jpg

Related Items