Milipuko yaliosababisha hasara yalengwa Wanajeshi wa Kenya nje ya mji wa Kismaayo.

Thursday April 16, 2015 - 21:02:38 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1849
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Milipuko yaliosababisha hasara yalengwa Wanajeshi wa Kenya nje ya mji wa Kismaayo.

    Wanamgambo wa Ahmed Madobe na Wanajeshi wavamizi wa Msalaba kutoka Kenya yamekutana na hasara kubwa baada ya kulengwa Milipuko mikubwa yaliofanyika nje kidogo na mji wa Kismaayo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanamgambo wa Ahmed Madobe na Wanajeshi wavamizi wa Msalaba kutoka Kenya yamekutana na hasara kubwa baada ya kulengwa Milipuko mikubwa yaliofanyika nje kidogo na mji wa Kismaayo.

Habari kutoka kijiji cha Bula Gaduud zinaeleza kuwa milipuko miwili mikubwa yalilengwa katika kituo cha Wanajeshi wa Kenya uliopo kwenye kijiji hicho na milipuko hiyoyalisababisha hasara ya maisha ya wanajeshi waliolengwa.

Baada ya dakika kadhaa mlipuko mwingine ulifanyika dhidi ya Wanamgambo wa Utawala wa Ahmed Madobe wakati ambapo walikuwa wakichukua pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi waliokuwa wakitumia Barabara.

Mwandishi wa habari aliyopo Mkoa wa Jubba anaarifu kuwa Wanamgambo watatu wa Ahmed Madobe waliuawa kwenye mashambulio hayo huko Idadi ya Wanajeshi wa Kenya waliouawa hawajajulikana rasmi lakini Ndege ya kijeshi ilitua katika kijiji cha Bula Gduud na kuchukua Wanajeshi waliouawa na wengine waliojeruhiwa.

Related Items