Al-Shabab yaichanganya Serikali ya Kenya! (Tathmini)

Thursday April 16, 2015 - 21:12:17 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4704
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 46
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Al-Shabab yaichanganya Serikali ya Kenya! (Tathmini)

    Wiki tatu tangu yalipofanyika shambulio kubwa katika chuo kikuu cha Garissa Kaskazini Mashariki mwa Kenya ambayo inasemekani kuwa shambulio baya kabisa kuwahi kufanyika katika Ardhi ya Kenya ukiachilia mbali na ile shambulio la mwaka 1998 ya Majengo

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wiki tatu tangu yalipofanyika shambulio kubwa katika chuo kikuu cha Garissa Kaskazini Mashariki mwa Kenya ambayo inasemekani kuwa shambulio baya kabisa kuwahi kufanyika katika Ardhi ya Kenya ukiachilia mbali na ile shambulio la mwaka 1998 ya Majengo ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi.Waandishi wa habari nchini Kenya waliyaita kuwa ni mauaji ya halaiki "Garissa Massacre" ambapo watu zaidi ya 200 wameuawa ingawa Serikali ya Kenya imekiri kuwa idadi ya watu waliouawa ni zaidi ya 148 lakini idadi hiyo baado ni kitendawili na sintofahamu ya Serikali ya Uhuru na wananchi ambao wamepoteza ndugu na jamaa katika Shambulio hilo iliyowalenga Wakristo.Serikali ya Uhuru ilikuwa kana kwamba imepata mshtuko wa kiakili na hatimae kuonekana kuchanganyikiwa kabisa na kukosa cha kuelezea,mara kadhaa mashambulio kama haya yakifanyika Serikali Kibaraka ya Kenya huonekana wazi kuwa katika hali ya kuchanganyikiwa zaidi kuliko kutafuta tiba wa ugonjwa.


Wapiganaji wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen waliopewa mafunzo ya hali ya juu na itikadi swahihi ya uislaam wamewashangaza mamilioni ya watu kote Duniani namna walivyoweza kupenya jengo kubwa la chuo hicho cha Garissa na pia namna walivyojitahidi kulinda kumwaga Damu ya Muislaam.


Hadi sasa hatua iliyochukua Serikali ya Kenya ili kuweza kuwalinda wananchi wake na taifa hilo linaloangamia ni hatua ambayo inayoweza kufasiriwa kuwa "kutwanga maji kwenye Kinu" kwani Serikali hiyo inayopewa Ruzuku kubwa kwa Mataifa ya Magharibi kwa kupambana na Uislaam wa ndani na kule Somalia baado imefumbia macho tatizo inaoikabili.


Siku mmoja tu baada ya shambulio la Garissa Uhuru Kenyatta alionekana akiwa na hasira na macho yake yakionyesha hasira yasiozuilika alitangaza kuwa Makurutu 10,000 waliosimamishwa na Mahakama kuu ya nchi hiyo kujiunga na Jeshi la KDF kuripoti haraka katika kituo cha Mafunzo ya Jeshi la Kenya.


Siku chache baadae vijana 10,000 waliopewa Amri ya kurudi kujiunga kwenye kambi ya mfunzo ya Jeshi la KDF walionekana wakiandamana na kulalama kutokana na kauli mbili ya Kiongozi wao Uhuru Kenyatta aliyewaambia kurudi na kisha kubadilika na kufuta kauli yake ya kwanza.


Wataalamu wa masuala ya kisaikolojia wanasema hatua ya Rais wa Kenya ni hatua inao weza kusababisha kuchanganyikiwa kiakili na kutoa kauli bila mashauriano yeyote na viongozi wa nchi walio nyuma yake,na pia wametilia shaka mwenendo mzima wa kazi yake akiwa kiongozi mkuu wa Taifa kama hiyo.


Hatua nyingine iliyochukua Serikali ya Uhuru ni kuzifungia Benki na Hawala zote za jamii ya Kisomali na pia kuwafungia Accounti ya wafanya biashara waislaam wapatao 83 ikidai kuwa ni wafadhili wa Al-Shabab.


Watalaamu wa masuala ya Uchumi wanasema hatua hii ya kuzifungia Mabenki na Hawala huenda Kenya iliyokuwa ikiyumba kwa matatizo ya Uchumi ikaendelea kuyumba zaidi kutoka ilivyokuwa mwanzo na kufikia katika kiwango cha juu kabisa kiuchumi.


Serikali ya Uhuru Kenyatta imejikuta ikipata Upinzani mkubwa kutoka kwa wanasiasa wa chama cha upinzani khususan chama cha CORD ambao wao wanaonekana kuwa na suluhu ya wazi kwa wananchi wa Kenya kutokana na matatizo haya iliyoiyumbisha Serikali ya Kenya.


Kwa upande mmoja wanasiasa hao unaweza kuwaona wanazungumza kisiasa zaidi lakini ndio suluhu la kweli lenye kudumu ikiwa kauli yao ya "Withdrawal KDF from Somalia" yatakuwa ni kweli bila kutafuta Madaraka.


Na kauli mbio hii ndio huenda ikaipeleka kuingia Ikulu ya Harambee Chama cha CORD inayoongozwa na Raila Odinga na Kilonzo Musyoka ikiwa Wakenya watafahamu Kauli yao hiyo ya kuwaondoa Wanajeshi w KDF kutoka Somalia.


Serikali ya Kenya kupitia Makamu wa Rais Wiliam Ruto alitangaza kuipa miezi mitatu kwa UNHCR kuwahamisha Wakimbizi wa Kisomali walioko kambi kubwa ya Dadaab na kusema kuwa kama hawatofanya hivyo basi Serikali yake itachukua Mabasi na kuwahamisha kwenda Somalia kwa nguvu.


Hatua hii imesababisha UN na Mashirika mengine ya kutetea haki za Binaadam na Kenya kuanza kulumbana na kurushiana maneno huko UNHCR ikidai kuwa hakuna wakimbizi wa kuhamishwa na Kenya ikiendelea na hatua hiyo basi itakuwa imevunja mkataba wa kimataifa wa kuwahifadhi wakimbizi.


Mpaka sasa Kenya imeshikilia misimamo wake wa kuwahamisha wakimbizi wa Kambi ya Daadaab kwa kisingizio kuwa kuna kambi za Mafunzo ya Al-Shabab na viongozi wake!.


Wakati chama cha CORD ikiendelea na Kampeni yake ya kuitaka Serikali ya Uhuru kuchukua uamuzi mgumu wa Kuwaondoa Wanajeshi wake waliopo Somalia kuondoka haraka ili kuwanusuru mamilioni ya Wakenya wanaoteseka na Mashambulio ya mara kwa mara.


Wakati hayo yakiendelea Kenya imewapa siku 10 vijana wa kiislaam wa Pwani kujisalimisha kwa Polisi la sivyo watakamatwa au kuuawa kwa kisingizio cha kuwa waungwaji mkono kwa ndugu zao wa Somalia Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.


Hatua hiyo imepangwa vikali na viongozi wa mkoa wa Pwani khususan katika mji wa Mombasa na kuita kuwa ni mtego wa kutaka kuedelea na mauaji ya waislaam wa Pwani.


Kwa upande wake Serikali ya Kenya baado imeshikilia msimamo wake wa kutowaondoa Wanajeshi wake walioko katika Mkoa wa Jubba na Gedo nchini Somalia na atakaeonakana kusema hayo atakuwa miongoni mwa watu wanaoitwa Magaidi.


Harakat Al-Shabab Al Mujahideen inayopigana nchi za Somalia na Kenya imesema katika taarifa yake kuwa Kenya kama haitowaondoa Wanajeshi wake walioko Somalia na basi misururu ya Mashambulio zaidi ya haya yatashuhudiwa kila mitaa ya miji ya Kenya.

Related Items