Vikosi vya Mujahidina washambulia kituo cha Polisi mjini Bosaso.

Saturday April 18, 2015 - 21:22:57 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2289
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Mujahidina washambulia kituo cha Polisi mjini Bosaso.

    Jana usiku majira ya saa 2 vikosi vya Mujahidina walishambulia kituo cha Polisi kilichopo mjini Bosaso ambapo waislaam kadhaa walikuwa wakizuia na utawala wa kupambana na Uislaam wa Puntland kutokana na tuhuma za kile walichokiita Ugaidi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Jana usiku majira ya saa 2 vikosi vya Mujahidina walishambulia kituo cha Polisi kilichopo mjini Bosaso ambapo waislaam kadhaa walikuwa wakizuia na utawala wa kupambana na Uislaam wa Puntland kutokana na tuhuma za kile walichokiita Ugaidi.Kikosi mojawapo ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wakiwa na silaha mbalimbali walishambulia kituo hicho na baadae walikabiliana vilivyo na Maaskari wa Utawala wa Puntland waliokuwa wakilinda kituoni hapo na makabiliano hayo yalichukua masaa kadhaa kama walivyoarifu mashuhuda.
Habari zaidi zinaeleza kuwa shambulio hilo pia yalifuatana na milipuko kadhaa yaliobomoa kuta ya mbele kwenye kituo hicho ingawa haikufahamika kama Mujahidina waliwaachia wafungwa waliokuwa wakizuiwa na Utawala uliojiita wa Jimbo la Puntland ulio chini ya Serikali ya Ethiopia.Jana usiku katika mitaa mbalimbali wa mji wa Bosaso kulisikika milio ya risasi pamoja na Takbira za Mujahidina waliotekeleza oprseheni hiyo,moja wa Maofisa wa Mujahidina aliyezungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Furqaan amesema kuwa Mujahidina waliwaua Maaskari na wengine waliwajeruhi na ameongeza kusema kuwa wameona maiti 2 ya Maaskari hao wa Puntland.

Related Items