Mujahidina wafanya mashambulio katika eneo la Sinka Deer na kuwaua Maaskari kadhaa.

Saturday April 18, 2015 - 21:24:34 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2559
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Mujahidina wafanya mashambulio katika eneo la Sinka Deer na kuwaua Maaskari kadhaa.

    Vikosi vya Mujahidina jana usiku wamefanya shambulio kubwa katika eneo la Sinka Deer ambao Wanamgambo wa Serikali ya FG walikuwa na kizuizi cha Barabarani eneo iliyo nje kidogo na mji wa Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Mujahidina jana usiku wamefanya shambulio kubwa katika eneo la Sinka Deer ambao Wanamgambo wa Serikali ya FG walikuwa na kizuizi cha Barabarani eneo iliyo nje kidogo na mji wa Mugadishu.Mapigano yalianza ghafla baada ya Mujahidina kuanza kuwafyatulia risasi kwenye kizuizi hicho taarifa zaidi zinaeleza kuwa makabiliano yalidumu masaa kadhaa katika eneo hilo kama walivyotuarifu wakaazi wa eneo la Sinka Deer.
Wanamgambo wa Serikali ya FG waliokuwa wamefanya makao katika eneo hilo la Kizuizi wamefukuzwa kama walivyoarifu maofisa wa Mujahidina waliokuwa wakiongoza mapambano hayo huko wahalifu hao wakipata maumivu makali na kusababisha kutoendelea na mapambano na Mujahidina.Mpaka sasa Mtandao wa SomaliMemo haijapata taarifa kutoka kwa Mujahidina ambao unaweza kuthibitisha Idadi rasmi ya wanamgambo waliouwa au kujeruhiwa kwenye mapambano hayo huko kukiwa na taarifa kuwa wanamgambo hao mapema leo asubuhi walirudi katika eneo waliokuwa wamefukuzwa na lengo lao ni kuendelea kuwasumbua wananchi wa Kiislaam wanaotumia Barabara yanaounganisha kati ya Afgooye na mji wa Mugadishu.

Related Items