Mapigano makali yafanyika usiku wa jana katika eneo la Bula Gaduud Wanajeshi wa Kenya wapata vipigo.

Sunday April 19, 2015 - 22:02:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3587
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 50
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Mapigano makali yafanyika usiku wa jana katika eneo la Bula Gaduud Wanajeshi wa Kenya wapata vipigo.

    Vikosi vya Mujahidina wamefanya mashambulio makali kwenye makao ya wanajeshi wa Kenya yalioko katika kijiji cha Bula Gaduud iliyo kwenye mkoa wa Lower Jubba na mapigano hayo yalidumu masaa kadhaa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Mujahidina wamefanya mashambulio makali kwenye makao ya wanajeshi wa Kenya yalioko katika kijiji cha Bula Gaduud iliyo kwenye mkoa wa Lower Jubba na mapigano hayo yalidumu masaa kadhaa.Vikosi vya Mujahidina walitumia silaha nzito na yale ya rashasha dhidi ya Wanajeshi Maadui kutoka Kenya huko wanajeshi walioshambuliwa wakifyatua risasi kama walivyotuarifu wakaazi wa eneo hilo ambao iko umbali wa KM 30 kwenda mji wa Kismaayo.Mmoja wa Maofisa wa Mujahidina tulioweza kuzungumza nae ametueleza kuwa wanajeshi wa Kenya walipata hasara kubwa na wakati Mujahidina walipoanza kushambulia wanajeshi wa Kenya walikuwa kwenye kambi yao.


Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamerudi baada ya kutekeleza shambulio hilo na kuwapa maumivu wavamizi kutoka Kenya.

Related Items