Wapiganaji wa Al-Shabab wafanya mashambulio yaliosababisha hasara kwa Wanajeshi wa AMISOM katika mkoa wa L/Shabelle.

Sunday April 19, 2015 - 22:04:53 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2552
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Wapiganaji wa Al-Shabab wafanya mashambulio yaliosababisha hasara kwa Wanajeshi wa AMISOM katika mkoa wa L/Shabelle.

    Msafara wa Magari ya Wanajeshi wa AMISOM yameingia katika mtego wa shambulio la kuvizia yaliowekwa na Mujahidina wa A-Shabab wanaoendesha harakati yao katika mkoa wa Lower Shabelle.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Msafara wa Magari ya Wanajeshi wa AMISOM yameingia katika mtego wa shambulio la kuvizia yaliowekwa na Mujahidina wa A-Shabab wanaoendesha harakati yao katika mkoa wa Lower Shabelle.

Msafara huo uliokuwa na Magari 5 ya kijeshi yanasemekana ghafla ulizingirwa na risasi za Mujahidina  na hapo kulitokea mapigano makali uliodumu masaa kadhaa,Mujahidina walikabiliana vilivyo na Maadui mapigano yalikuwa tofauti na mapigano yaliowahi kufanyika kama ilivyoarifiwa mandao wa SomaliMemo.Magari mawili mmoja ikiwa ni ya kuwabeba wanajeshi na nyingine ya tenki ya Maji yaliteketezwa kwa Moto huko Mujahidina wakiwaua Wanajeshi wote waliokuwemo kwenye Magari hizo kama walivyotuarifu maofisa wa Mujahidina.

Magari 3 yaliobakia yalikimbia na kuwaacha wenzao walioangamia baada ya kushindwa kukabiliana na Mujahidina,Mujahidina kwa uwezo wa Allah walipata Ghanima ya Bunduki nyingi aina ya AK47 na nyingine Bunduki aina ya PKM ambapo zote hizo walikuwa nao Maaskari waliouwa,Idadi kubwa ya Wanajeshi waliouawa inasemekana yamezagaa katika eneo la Mapigano ambao unajulikana mtaa wa Leego.

Related Items