Wanajeshi wa Kenya wamwua mmoja wa Waalimu wa Madrasa katika mji wa Mandera na kudai malipo Miili ya Marehemu.

Sunday April 19, 2015 - 22:10:19 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3298
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 35
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa Kenya wamwua mmoja wa Waalimu wa Madrasa katika mji wa Mandera na kudai malipo Miili ya Marehemu.

    Habari kutoka mji wa Mandera wanajeshi wa Kenya walimteka mmoja wa Waalimu wa Madrasa katika mji huo kwa muda wa siku 20 zilizopita.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mji wa Mandera wanajeshi wa Kenya walimteka mmoja wa Waalimu wa Madrasa katika mji huo kwa muda wa siku 20 zilizopita.


Ndugu na jamaa wa Mwalimu Farhan Ismail Shurie  walimkosa ndugu yao alikopelekwa lakini baada ya siku 15 ndipo walipopata taarifa kuwa miili ya ndugu yao ilipelekwa katika mji wa Beled Hawo na Wanajeshi wa Kenya ambapo uko katika mpaka wa Kizushi kati ya Kenya na Somalia.Mwalimu aliyeuawa na Wanajeshi wa Kenya anatoka katika mji wa Beled Hawo na pindi Marehemu alipopelekwa kwenye Wilaya hiyo ulitambuliwa na wakaazi na kuwatuma wazee wa Jadi ili waweze kujadiliana na wanajeshi wa Kenya na kutoa Maiti kwajili ya mazishi.


Wanajeshi wa Kenya walikataa kuwapa Wazee wa Jadi maiti ya Mwalimu huko wakitoa sharti ya kulipwa kwanza kiasi cha pesa 200,000 ya Kenya,Wakaazi pamoja na Wazee wa jadi walishangazwa na hatua hiyo ya Wanajeshi wa Kenya ya kutoza ushuru kwa maiti za Waislaam.


Wakaazi walijikusanya na kubeba jukumu hilo la kulipa kiasi hicho cha pesa waliotaja Waajeshi hao Kenya na hatimae Miili ya Mwalimu Farhaan Ismail ulihifadhiwa na kuzikwa,wakaazi wa Mji wa Beled Hawo wamestajabishwa na kitendo cha Wanajeshi wa Kenya.

Related Items