Mashambulio yaliofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Mji wa Kismaayo na Kenya wapoteza Wanajeshi wake.

Monday April 20, 2015 - 23:18:14 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2718
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 47
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Mashambulio yaliofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Mji wa Kismaayo na Kenya wapoteza Wanajeshi wake.

    Mujahidina wa Al-Shabab jana usiku walifanya mashambulio makubwa katika uwanja wa Ndege wa mji wa Kismaayo ambayo ni kambi kubwa kwa Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Kenya katika mkoa wa Jubba.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mujahidina wa Al-Shabab jana usiku walifanya mashambulio makubwa katika uwanja wa Ndege wa mji wa Kismaayo ambayo ni kambi kubwa kwa Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Kenya katika mkoa wa Jubba.Kikosi hicho kilichofanya mashambulio kwenye kambi hiyo walirusha mizinga kadhaa na baadae walianza kuzishambulia kwa risasi za rashasha dhidi ya kambi hiyo ya Wanajeshi wa Kenya na inaarifiwa kuwa kulitokea mapambano yaliodumu masaa kadhaa katika eneo hilo.Maofisa wa Mujahidina katika Mkoa wa Jubba tulipo wauliza kuhusu mapambano hayo wametuthibitishia kuwa vikosi vyao walifanya mashambulio kwenye Kambi ya Wanajeshi wa Kenya yalioko katika Uwanja wa Ndege wa mji wa Kismaayo Aidha mujahidina baada ya kumaliza lengo lao la kuwapa maumivu maadui waliondoka na kurudi kwenye maeneo yao.


Wanajeshi wa Kenya walioko katika mkoa wa Jubba wamekutana na hali mbaya ikiwa ni pamoja na kukatishwa mawasiliano ya wao kwa wao kwa njia ya Barabara,na Wanajeshi wao walioko katika viwanja vya mapambano kushindwa kupata shehena au msaada wa silaha na vivaa vya kijeshi kutoka kwa wenzao,na kila siku hukutana na mapigano.

Related Items