Vituo vya Wanamgambo wa FG yalioko katika mji wa Lafole washambuliwa.

Monday April 20, 2015 - 23:20:26 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2246
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vituo vya Wanamgambo wa FG yalioko katika mji wa Lafole washambuliwa.

    Kama tulivypata taarifa vikosi vya Mujahidina jana usiku walifanya mashambulio makali katika mji wa Lafole khususan eneo linalojulikana Shanta tiir ambako ni makao ya Wanamgambo wahalifu wa FG.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kama tulivypata taarifa vikosi vya Mujahidina jana usiku walifanya mashambulio makali katika mji wa Lafole khususan eneo linalojulikana Shanta tiir ambako ni makao ya Wanamgambo wahalifu wa FG.Mapigano yalikuwa makali na yalidumu masaa kadhaa na Mujahidina walikuwa wakilenga sehemu maalum waliopeleleza muda mrefu na sehemu hizo hupenda kulala nyakati za usiku wanamgambo hao wahalifu wa FG.Taarifa za awali zinaarifu kuwa kuna hasara mbalimbali yaliowapata Maadui kwenye mapambano hayo ingawa hakuna idadi kamili ya Wanamgambo waliopoteza maisha katika makabiliano hayo.


Wakaazi wa mji wa Lafole walipoulizwa kuhusu mashambulio ya jana usiku walisema walisikia milio ya silaha nzito waliokuwa wakirushiana pande zilizokabiliana,mapema leo asubuhi hali katika eneo la mapambano yalikuwa shwari baada ya opresheni ya Mujahidina waliofanya katika eneo la Shanta Tiir.

Related Items