Sh.Ali Mahamuud Rage: UN haitokaa kwa salama katika Ardhi ya Somalia.

Monday April 20, 2015 - 23:30:16 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3632
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 37
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Sh.Ali Mahamuud Rage: UN haitokaa kwa salama katika Ardhi ya Somalia.

    Msemaji mkuu wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Mahamuud Ali Rage Al Maarufu (Sheikh Ali Dere) usiku huu amezungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Furqaan na kufafanua shambulio iliyowalenga wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika mji wa Gar

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Msemaji mkuu wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Mahamuud Ali Rage Al Maarufu (Sheikh Ali Dere) usiku huu amezungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Furqaan na kufafanua shambulio iliyowalenga wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika mji wa Garowe leo.


Shekhe ambae aliulizwa maswali mbalimbali amesema lengo la kuishambulia UN ni kwamba inaongoza na kuifadhili uvamizi uliofanywa katika Ardhi ya Somalia na pia inaendelea na Madhila kwa wananchi wa Somalia walioko katika Mikoa kadhaa nchini Somalia. Aidha amewaonya wafanyakazi wa UN kuendelea kukaa katika Ardhi ya Somalia huko wakiendelea kuwasumbua wananchi wa Kiislaam,"hakuna sehemu itakayopata Salama UN,na wakiendelea kukaa Ardhi ya Somalia basi tunawaambia muwe tayari kuzionja Panga zetu",alisema Sheikh Ali Dere.


Related Items